top of page
BARUA PEPE: kanisahalisi@gmail.com | S.L.P 33070 DSM | Simu +255 (0) 719 341 327
Tegeta, Namanga, Kiwanja Na. 195
"Heri uliyekombolewa na CHANZO HALISI"
Mkutano wa Mlimani City
Conference Center
Lango la 26 Eluli, 1 Majira Halisi (10 September 2023) Kanisa lilifanya mkutano wa Tanzania ndicho Chanzo cha Baraka kwa Mataifa Yote. Mgeni Rasmi wa Mkutano huu alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Mkutano wa AICC - Arusha;
Lango la 26 Abu, 1 Majira Halisi (11 September 2022) Kanisa lilifanyika Uzinduzi wa Kitabu cha Ufahamu Ulioanzia Tanzania na Kwenda Mataifa Mengine. Mgeni Rasmi wa Mkutano huu alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Mkutano wa Uwanja wa Taifa Uhuru - Dsm
Lango la 26 Eluli, Vol.1 (6 December 2020) Kanisa lilifanya Uzinduzi wa Ufahamu ulioanzia Tanzania kwenda Mataifa mengine yote (Mathayo 21:43
bottom of page