top of page

Nyimbo Kutoka Kituo cha Moyo Mmoja Halisi (Kao Kuu la Kanisa Halisi)

Nyimbo Kutoka Vituo mbalimbali vya Mikoa ya Taifa Baba (Tanzania) 

Nyimbo Kutoka vituo vya Mataifa ya yaliyompokea CHANZO HALISI

Kwanini sisi tuna Waimbaji na si wanakwaya ?

1 Nyakati 9:33 Hapo Utaona waimbaji ambao hutumika katika Safu yao mchana na nuruni; Lakini pia 2 Nyakati 29:28 Hapo Utaona Kusanyiko linaabudu; Waimbaji wanaimba na wapiga vyombo wakipiga vyombo vyao; Matokeo ya Kuimba na Kusifu unayaona Katika 2 Nya 20:22 Maovu na Waovu wanapigwa kwa Uimbaji

Sisi ni Kanisa Halisi kazi yetu ni Kumsifu na Kumuabudu CHANZO HALISI (Zab. 98:1-9)  ambacho ndicho alikiona kwenye Moyo wake na ndilo kusudi. Ufahamu huo umesababisha sisi kuwa na waimbaji na si wana kwaya.

tigo1.png
bottom of page