top of page
vlcsnap-2023-01-09-12h18m25s909.png

Kanisa lilifanya Ibada Tarehe 19 Shebati, 1 (Majira Halisi) Ibada ilihudhiriwa na wenyeji wa Mkoa wa Njombe pamoja na Uzao wa Kanisa Halisi Mkoa wa Arusha, Dar es salaam, Morogoro, Pwani na Kagera. Ibada hiyo iliongozwa na BABA HALISI lakini pia ilihudhuriwa na Mnara Mmoja Halisi na  Watekeleza Sauti wa mikoa mbali mbali

Mgeni Rasmi alikuwa ni ; Emmanuel George ambaye ni Katibu Tawala - Wilaya ya Njombe akiwa ameambatana na viongozi wengine. 

vlcsnap-2023-01-09-12h09m17s628.png

BABA HALISI aliwashukuru wananchi wa Mkoa wa Njombe, Iringa, Mbeya, Songwe na Songea kwa kuupigia Kura Wimbo wa Kanisa Halisi Kupitia Radio ya Kings Fm ambao ulishika nafasi ya kwanza kati ya nyimbo zote za nyanda ya juu za Kusini.

Lakini pia shukrani hizo ziliambatana na shukrani maalumu (maombi) ya

kuufuta ugoniwa wa Ukimwi ulioleta athari katika Mkoa wa Niombe kutokana na taarifa za Takwimu za Jamii. â€‹Na kwa kuwa aliyeshukuru ni CHANZO HALISI alijibu saa hiyo hiyo;

vlcsnap-2023-01-09-12h20m22s032.png

baada ya dada mmoja ambaye hakuwepo kwenye ibada hiyo lakini kwasababu

aliamini kwamba ugonjwa huo umefutwa na CHANZO HALISI ndani ya

Mkoa wake, alienda kupima na kupokea majibu ya negative (ikiwa na

maana ugonjwa ule ulifutika saa ile ile kwa nguvu ya Sauti Halisi Ya

Muumba Wa Kila Kitu Kizuri.

bottom of page