top of page
PRS_2648_1.jpg

Mkutano wa Mlimani City
Conference Center

Lango la 26 Eluli, 1 Majira Halisi (10 September 2023) Kanisa lilifanya mkutano wa Tanzania ndicho Chanzo cha Baraka kwa Mataifa Yote. Mgeni Rasmi wa Mkutano huu alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.

DSC_3770.JPG

Mkutano wa AICC - Arusha;

Lango la 26 Abu, 1 Majira Halisi (11 September 2022) Kanisa lilifanyika Uzinduzi wa Kitabu cha Ufahamu Ulioanzia Tanzania na Kwenda Mataifa Mengine. Mgeni Rasmi wa Mkutano huu alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Mkutano wa Uwanja wa CCM -Njombe;

Lango la 19 Shebati,1 (20 Machi, 2022) Kanisa lilifanya Mkutano wa Kijamii ambao ulikuwa na dhamira ya kufuta Ugonjwa wa Ukimwi

vlcsnap-2023-01-09-12h18m25s909.png

Mkutano wa Ukumbi wa Diamond Jubilee - Dsm;

Lango la 12 Ethanimu, Vol.2 (21 November 2021) Kanisa lilifanya Mikutano unaoonyesha Sura Halisi ya Kanisa ni ipi ?

DSC_0721.JPG
uwanja wa uhuru_edited_edited.png

Mkutano wa Uwanja wa Taifa Uhuru - Dsm

Lango la 26 Eluli, Vol.1 (6 December 2020) Kanisa lilifanya Uzinduzi wa Ufahamu ulioanzia Tanzania kwenda Mataifa mengine yote (Mathayo 21:43

Kuhusu sisi

Kanisa Halisi la MUUMBA, linapatikana katika Mikoa yote ya Taifa la Tanzania na katika mataifa yote ya jirani

(Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi, Congo, Msumbiji na Zambia)

Mawasiliano

Simu: +255 (0) 719 341 327

​

S.L.P 33070 DSM (TZ)

 

kanisahalisi@gmail.com

​

Kao Kuu ni Dar es salaam,Tegeta Namanga; Plot Na. 195

Jiandikishe 

Umebarikiwa Mno na CHANZO HALISI !

  • Youtube
  • Instagram
  • TikTok

Majira Halisi © 2025 Ofisi ya Mawasiliano - Kanisa Halisi la MUUMBA.

bottom of page