top of page
Salaam ya Kanisa

"Heri Uliyebarikiwa na CHANZO HALISI"

''Heri".

Ratiba za Ibada

Tuna ibada kila lango (siku) katikati ya wiki kuanzia saa 11 Alfajiri mpaka 12 Asubuhi

Lango la moyo mmoja (jumapili) tuna ibada kuanzia saa 11 alfajiri mpaka saa 5 asubuhi

Uponyaji ni muda wote unapatikana, Watekeleza Sauti (Makuhani) wapo kukuhudumia muda wote BURE.

ANUANI

Tegeta, Namanga

P.o.box 33070 Dar es salaam

Simu: 0719 341 327

Barua Pepe: kanisahalisi@gmail.com

Vituo Vyetu

Tuna vituo vya Kanisa katika kila mkoa hadi kitongoji na pia tuna vituo kwenye mataifa ya nje (Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi, Congo, Msumbiji na Zambia) kwa maelezo zaidi kuhusu namba na mahali kituo kilipo popote:-

"Heri uliyebarikiwa na CHANZO HALISI"

CHANZO HALISI TV

Tembelea Youtube Channel yetu ili kuangalia Ibada mbali mbali ili kuzidi kufahamu na Kumpokea MUNGU BABA ambae Uhalisia wake ni CHANZO HALISI aliye kuja Juu ya nchi kwa ajili  ya Kukugeuzia Uteka wako, Kukufutia Laana na Kukusamehe Bure,

 

E-mail: chanzohalisi@gmail.com

  • Youtube
  • Instagram
  • TikTok
bottom of page